Uchaguzi 2020 UBASHIRI: Mgombea Urais CHADEMA 2020

Ikiwa alidhishinda risasi 16 zilizoingia kwenye mwili wake hakika inawezekana pia akaishangaza dunia kwa matokeo ya uraisi
 
Mkuu @Kitaturu,nakuhakikishia,Tundu Lissu akigombea,atatangazwa mshindi mapema sana.
Mh. Kaijage,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na DED wengi hawafurahishwi na hali ilivyo hivi sasa.
Amin amin nakwambia,watu wapo tayari kuiweka nchi mahali salama kwa mustakabari mwema wa vizazi vya sasa na vijavyo.
 
Acha mambo yakijinga Hata aje nani hakuna wakumshinda Magufuli 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alishalazimisha, anaendelea kulazimisha, atalazimisha kushinda kwa kishindo.
 
Lissu ndio candidate, akishindwa kuweza kugembea basi lazima CHADEMA wakubali kuiunga mkono ACT na Zitto awe ndio mgombea.
Kinyume na hapo labda waende na Bulaya
Nje ya hao watatu hakuna mgombea mwenye sifa kwa kweli,
Nahasa wagombea wakitokea CCM mimi wa mwanzo kura yangu wataisikia, siwezi kurejea upuuzi kama wa 2015
 
Mara hii CHADEMA wanakuja na jinsia ya KIKE, mgombea urais Halima Mdee na mgombea mwenza atakuwa Esther Bulaya ili ikulu ifanane na ya Clinton na Monica Lewinsky!
Kasome katiba vizuri ili ujue mpangalio wa kupata Rais na makamu wa Rais
 
si mlisema hamtoshiriki uchaguzi mpaka kuwe na tume huru ya uchaguzi?vipi madai yamefanyiwa kazi?
 
Sawa ila ngoja mda ufike wa kampeni.

Maana waache ubunge ambao ni 100% kurudi kupiga kelele bungeni, wagombee uraisi ambao ni 0.0001%kuupata.
 
Lissu si anaogopa Onyo la Musiba kuwa CHADEMA wamepanga kumtungua atakapotua tu airport?
Au atagombea kwa Whatsap?
 
Namba 1 itawezekanaje wakati yuko nje ya nchi? Namba 3 na 4 kwani ni wanachama wa CHADEMA?. Kwa hiyo wanaobaki hapo ni Namba 2 na 5; labda tumwongeze Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani
Nadhani sasa inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…