Ubashiri: Simba dhidi ya yanga tarehe 4 Jan 2020

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Kuelekea mechi ya watani wa jadi simba na yanga karibu kuweka ubashiri wako hapa
Simba iliyo na kikosi imara kilicho bora kila idara itawakaribisha yanga ambao wamekuwa wakipata matokeo ya kusuasua mechi zake za hivi karibuni

Karibu tuweke ubashiri hapa then tukutane hapa baada ya mechi ya watani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshindi anajulikana ila Simba tafadhari sana yasitokee yale ya uD Songo tuliwadharau na kujiona bora kwa sababu twapiga timu za kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuadimika kwa kondom kutasababisha yanga kutiwa mimba isiyotarajiwa.
 
Hii mechi Inaweza kuchezwa "Nje ya Uwanja" ikaishia kwa sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…