Ubashiri wa Simba SC vs Yanga SC kwenye Ngao ya jamii

Weka ubashiri wako hapa nani ataibuka mshindi.

Ubashiri wangu

Simba 2- Yanga 0

Wafungaji ni Konde Boy & Baleke
Kwa kocha huyu wa simba usishangae hao wachezaj kutocheza kabsa
 
Simba 1 yanga o mfungaji wa goli ni beki lakini sijui ni nani
 
Simba 1 ndonga ya Kibu Denis Mkandaji
Yanga 1 Musonda akitokea benchi

Yanga watashinda kwenye matuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…