Upewe maua yako mkuuYanga 6 Simba 0
Wafungaji:
Aziz Messi Ki
Clement De Bryune
Kennedy Haaland Musonda
Konkan khan khan master
Skudu Di Maria
Max Nzengeli Mbappe
Kocha ni yule yule Double G, Gamondi Guardiolla, Remember tha name
Huu ubashiri wako ndg ipo siku utabashiri umejinyea mbele ya wakwe zako na itakuwa hivyo.Yanga 6 Simba 0
Wafungaji:
Aziz Messi Ki
Clement De Bryune
Kennedy Haaland Musonda
Konkan khan khan master
Skudu Di Maria
Max Nzengeli Mbappe
Kocha ni yule yule Double G, Gamondi Guardiolla, Remember tha name
[emoji16][emoji16][emoji16]Huu ubashiri wako ndg ipo siku utabashiri umejinyea mbele ya wakwe zako na itakuwa hivyo.
Duh kwahiyo kubet nako ni dhambi?Mungu Ndiye ANAYEJUA Final Result.
" Maandalio ya Moyo ni ya mwanadamu, jawabu la ULIMI linatoka kwa Mungu".
HATMA YOOTE YA MAISHA YA BINADAMU IPO KWA MUNGU.
IMANI YANGU YA KIKRISTO INANIKATAZA UBASHIRI.
Umetisha sana mkuu!.Yanga 6 Simba 0
Wafungaji:
Aziz Messi Ki
Clement De Bryune
Kennedy Haaland Musonda
Konkan khan khan master
Skudu Di Maria
Max Nzengeli Mbappe
Kocha ni yule yule Double G, Gamondi Guardiolla, Remember tha name
Diara huwezi kumfunga penat kilahisi...Hii mechi full time 0_0 ila matuta Simba ataibuka bingwa mpya wa ngao ya jamii save hii???
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa kuangalia aina ya mifumo ya makocha na physic ya wachezaji wenyewe, hii game unatoa nafasi kwa Yanga kwa 60% ya kushinda na Simba ni 40%.
Kukosekana kwa Inonga, kunaweza kupunguza ufanisi wa Beki za kati za Simba, lkn pia kwa nilivyoiona Yanga, wao wana kasi sana, wanapia pasi haraka na wako energitic kwa karibu dk zote za mchezo. Kama kikosi cha Yanga kitakuwa hivi
1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. GIFT
5. BACCA
6. AUCHO
7. AZIZ KI
8. MUDATHIR
9. HAFIZ
10. ZOUZOUA
11. MAX
Basi Simba wana kazi kubwa zaidi ya kuzuia.
Vinginevyo kocha wa Simba yafaa awaamini wachezaji kama Kramoh, Ngoma aanze na hata Kibu.
All in all, hii game hadi Half Time naona Simba wakiwa nyuma kwa 2-0
Sina uhakika na full Time.
Konde boy huyu bonge?Weka ubashiri wako hapa nani ataibuka mshindi.
Ubashiri wangu
Simba 2- Yanga 0
Wafungaji ni Konde Boy & Baleke
Ubashiri feki umeshaliwaWe bashiri zako achana story
Umeamini nilichosema mkuuDiara huwezi kumfunga penat kilahisi...
Ogopa sana kipa unatenga mpira wa penart hatikisiki mpaka mpira upigwe. Huyo jamaa hanaga moyo wa presha.
Ogopa sana kipa anatengeneza penat halafu anadaka.
Hii imeendaSimba 3-1 Yanga.
SwadaktaHii mechi full time 0_0 ila matuta Simba ataibuka bingwa mpya wa ngao ya jamii save hii???
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Acha uongo bwana anafungika kirahisi tu huyo DiarraDiara huwezi kumfunga penat kilahisi...
Ogopa sana kipa unatenga mpira wa penart hatikisiki mpaka mpira upigwe. Huyo jamaa hanaga moyo wa presha.
Ogopa sana kipa anatengeneza penat halafu anadaka.