UBASHITE, Nauza vyeti vyangu (Msingi, O'level, A'level na Chuo)!

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
837
Reaction score
495
Naendeleza Ubashite kwa aliyetayari, maana nimesoma kwa zaidi ya miaka 16 lakini serikali haijathamini kazi niliyoifanya kuhangaika kwa miaka yote.
Kwa aliyetayari karibuni sana.
 
Na mimi pia. 4m4 ni dvn 1. 4m6 ni Dvn 2 ya EGM. Cha chuo nimekiacha chuo uko. Wananidai m1. Niliona ukuda kuwalipa mmoja den nije kitaa nianze kusota kutafta kazi. Million moja ndyo niliifanya mtaji wa kuanza maisha ya ujasiriamali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…