Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hayo nmeyashka tangu ujana wangu! (tafadhar tusfikie kule, "uza ulichonacho... unifate.."!)Tangu leo utaitwa Rwazi1, kwa nguvu za mungu uache dhambi (usiwe mwanaccm) uifuate ile kweli (uwe mwanchadema) nao utu wako utakuwa na heshima, utakuwa ni mchango kwa nchi hii, utadumisha umoja wa taifa bila kujari dini na kabila, utajitenga na serikali dhaifu na kama ukikengeuka utakuwa huna maana tena...karibu sana Rwazi1