ubatizo!

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
jaman, nmesoma sana posts zenu kwa miaka 3 sasa naomb nibatizwe!
 
Tangu leo utaitwa Rwazi1, kwa nguvu za mungu uache dhambi (usiwe mwanaccm) uifuate ile kweli (uwe mwanchadema) nao utu wako utakuwa na heshima, utakuwa ni mchango kwa nchi hii, utadumisha umoja wa taifa bila kujari dini na kabila, utajitenga na serikali dhaifu na kama ukikengeuka utakuwa huna maana tena...karibu sana Rwazi1
 
mbona hayo nmeyashka tangu ujana wangu! (tafadhar tusfikie kule, "uza ulichonacho... unifate.."!)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…