Pre GE2025 Ubaya wa Freeman Mbowe ni kuwa kiongozi bora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.

Wengi wao wanao msema Mbowe ni wanaccm. Unajiuliza hao wana CCM wanatoa wapi hiyo huruma kwa wana CHADEMA?

Mbowe ni tunu ya watanzania na ataendelea kuliongoza CHADEMA hadi pale wana CHADEMA tutakapoamua sasa kumpumzisha mwenyekiti wetu.

Msikilizeni mzee wetu Dkt. Slaa akitemwa cheche zake juu ya uimara wa Mbowe.

Your browser is not able to display this video.
 
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA...
Kwa ni wanaccm walisavabisha chadema kutawaliwa na ukoo wa mbowe?

1: Mzee Mbowe ni Mwenyekiti

2: John Mrema mke wake ni ukoo wa Mbowe

3: James Mbowe ni mtoto wa kaka yake Mbowe

4: Godbless Lema nae Mama yake ni ukoo wa Mbowe

5😀eveta Minja (Morogoro mjini) ni mtoto wa dada yake Mbowe

6: Malisa nae mke wake ni ukoo wa Mbowe

7: Halima mdee mama yake ni ukoo wa Lema
 
Madikteta na magaidi yana umoja mkubwa sana wa kulindana
 
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEM...
ACHENI KUDANGANYA WATU
 
Huyu mzee ameshasahau vitimbi vyote alivyovifanya wakati wa Jiwe!
Bora kwako angepumzika afuge ngo'mbe tu ameshapoteza relevance !
 
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA...
Kwa kuwa wewe unapiga kiwi viatu vyake ndio maana huoni ubaya wake!
 
Kazi kweli!


Yani wapo Watanzania wengine hawaoni. ☝🏿 Ona picha aliyotengenezewa🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…