Ubaya wa kudate na wanawake wembamba

Ubaya wa kudate na wanawake wembamba

Alafu wanapenda sana kulalamika kila unapo mshika anaumia, si mkono...nywele, mguu,, kiuono
😳😳😳😳😳😳
Bora na sie maturubo leo mnatusifia. hahahahah
 
  • Thanks
Reactions: etb
😳😳😳😳😳😳
Bora na sie maturubo leo mnatusifia. hahahahah


Hah hah hah nilitàkà kutia neno kuhusu TIPWATIPWA ila nimeghairi ili ufurahi zaidi.
 
kukiwa na upepo mkali inabidi umshikilie maana anaweza akapeperushwa.
 
They are baddest good in life they don't have big bodies but they do possess good mind in their head.....mim wqnawake wembamba nawapenda gani ukipata mwenyew hutajuta hadi kunakipindi lecture anazotoa kuhusu project unajiuliza huyu hizi hoja zipo kichwan kwake am a mbona kamwili kdogo akili kama zote
 
Ilibaki kidogo nianguke siku moja kisa upepo ila nashukuru palikua na mti pale pemben so nikapata balance kupitia mti
😀😀 pole aisee, inabidi ufanye juhudi za kuongeza uzito kidogo.
 
Back
Top Bottom