Ubaya wa Ruge kwa mbunge Sugu wadhihirika

:A S 465::lol::eyebrows::juggle::juggle::juggle: bangi mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
The biggest problem of all the time ni kuwa wale wote wanaopiganiwa hawana habari.
Wameshajifia kabla ya muda si milango ya mbingu wala ya kuzimu ilikubali kufunguka ili kuwaruhusu kuingia, so hawana pa kwenda hivyo wamebaki wakizunguka na kuishi miongoni mwetu kama Mizimu (Unfinished Business).
Waachine hao, hawana tiba tena, ni sawa na wapiga kura wa kitanzania waongwao kilo moja moja za sukari kila uchaguzi ufikapo.
 
Hakuna Dhambi kubwa na Mbaya kwenye Bongo Fleva kama ya kumtenga sugu na uhasisi wa sanaa hii, Sugu bado ni Mzee wa Bongofleva hata kama wakiwachonga watu wao na kuwabeba bado SUGU ni mzee wetu siku zoote.
 

nakubariana na wewe kabisa, Joseph kusaga aangalie na kama kuna mtu aliye karibu nae amshaulri, rude ni muajiri, anakompeleka siko, kuna tete alikuwa anaanda kesi ili wamfungulie mastaka sugu atakapo imba antivirus, sasa ajue sugu nae anawatu na walimwaambia nini kilichokuwa kinafuata,
 
Ruge na Sugu wanagombania biashara....Sugu promota na ruge naye promota..kila mtu anatumia nyenzo zake kufanikisha mipango
Ruge ana tumia redio clouds na tv.....wakati Sugu naye sasa anatumia ubunge wake ....
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho wake. RUGE you can fool some people sometimes,but you can't fool all the people all the time.
Wakati sasa umewadia,watu wamezinduka.

Mkuu, nakubaliana na wewe kwa usemi huo.
 
Njiwa vp tena,unaongea kufurahisha watu au ? nadhini njiwa ni ndege wa staarabu sana,ka vp we kuwa mwewe tu.argggggggggggg!!!
 
walitaka kulipa kisasi kama Sugu alivyowafanyia mbeya wakati wa tamasha lao lile la ngono linaloitwa "mwenge wa uhuru" oops!! mfinye easter! dhamira mbaya mwisho aibu!

Wameina! wameinuka!!........................... ha! ha! ha!
 
inamaana hujui kama watangazaji wa Clouds wanatumia masabuli kufikiri?

Si wote lakini wapo ambao wanaiheshimu kazi yao na hata kama huwa wanaingiliwa katika utendaji kazi wao huwa makini! Mtu kama Gerald, B12 na Kayanda wapo poa! usiwashambulie wote wengine wapo poa sana lakini tukumbuke hiyo ni kazi ya kuajiliwa hatuwezi kujua wanaelekezwa kufanya nini sawa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…