Ubaya wa Ruge kwa mbunge Sugu wadhihirika

Hasan Marini wa TBC siku moja alikuwa achezee kichapo toka kwa wafuasi wa cdm mahakamani arusha, jamaa walikuwa wanamtoa kwa nje ya mahakama wakidai hawataki tbc kuonyesha chcht juu ya kesi ile eti kwa kuwa siku hizi tbc ni ccm! nusuri kwake ilikuja pale alipojitete tena kwa sauti kubwa! angekuwa yeye ndiye mwenye hiyo tbc isingekuwa kama ilivyo lakini kinachotokea sasa wameamrishwa kufanya hivyo aliwasihi jamaa wasimdhuru!
Angalieni nanyi watangazaji wa clouds watu weshaanza kuwachukia! Watch out!
 
na hawa ndio aina ya wasanii waliokuwepo kwenye tamasha lao lililododa.

Comment yako na picha vimenifanya nicheke sana. Ruge anaweza kuharibu reputation ya radio yake asipokuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…