Ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote

Ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Unaweza ukanywa maziwa siku 29 siku ya 30 ukanywa sumu bado utakufa vile vile.

Hii inamaanisha ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote.

Kwa hiyo kuwa makini na mtu unayemtendea ubaya[emoji1600][emoji1600] [mention]enline g [/mention]
 
Back
Top Bottom