Enny, Miafriaka ndivyo tulivyo.
Tukipatiwa msaada tunafanya ndalilo, tunabweteka, hatufikirii tena mbele, tunakuwa tegemezi kiwango cha kufikia kuwa wanyonyaji.
Msaada ni stepping stone tu, huyo ndugu yako wala asikulaumu kwa chochote. Umefanya mengi ya kumpatia elimu, mtaji, na nyumba ya biashara. Bado hataki kulipa kodi.
Anataka ameki-profit kwa zero investment!!!! Give me a break!! Kwani wewe kaka huna responsibities??
Kwa nini una uhuruma kama mshumaa, unakwisha huku ukiendelea kumulikia wenzako. wakishakufirisi watakuja kukucheka hao.
Kwa taarifa yako huyo ndugu hajalipa kodi, na maintenance ya nyumba ndo usitegemee. Ataiharibu na kuizeesha nyumba na gharama ya kuitengeneza ni zako, au ataishia kukuua ili na nyumba ibaki kuwa yake.
Please, mfukuze haraka sana, tafuta mpangaji angalau ule jasho lako.
Huwezi kumfurahisha binadamu hasa mwenye upeo finyu kama hao ndugu zako. Ujue hata YESU alitenda mema sana hapa diniani. Sembuse wewe mwana wa Adamu Looh 😡!!!