Ubebaji mimba vyuoni.

Ubebaji mimba vyuoni.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Hili tatizo limekuwa sugu wasichana wengi hupenda kubeba mimba wakifika vyuoni tena na wanaume ambao hawawajui hata historia zao, hii kitu ina athari kubwa kwani unazaa mtoto ambae hana baba wa kueleweka na unakuwa umezaa nje ya ndoa kitu ambacho kina madhara kwa mtoto na dhambi mbele za mungu, siwakatazi kuwa na wapenzi ila msiwaamini mpaka kuwabebea mimba kwani wanaume wengi ni waongo na tayari unakuta ana mtu wake huko alikotoka, kuzaa ukiwa chuoni husababisha kupunguza uwezo wa kumudu masomo
cc; oil sumu.
 
oil sumu unaitwa huku
 
Last edited by a moderator:
kubeba mimba chuo sidhan kama n tatizo. Ila inategemea umebeba ya nani na unamipango gan nae. Wengne n wachumba wa watu na wengne wameolewa
 
siku hizi kuzaa na mchumba ruksa?
 
Back
Top Bottom