Uber, fursa mpya mjini

Mzunde

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
141
Reaction score
104
Wakuu poleni sana majukumu.

Mimi n kijana mwenye umri wa miaka 28, ninamika mi3 tangu nimemaliza masomo yangu ya elimu yajuu, nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio. Nimekutana nakina mwenzangu leo kanishauri kuhusu biashara hii ya kuwa dereva wa uber. Ninakagari kangu kaurithi nataka nikatumie kwa biashara hii mimi mwenyewe. Naomba mwenye uelewa namwenye ujuzi anipe changamoto zake wakuu kabla ya kuamza
 
Good step. Kujiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…