Uber hawajaondoka wapo

Uber hawajaondoka wapo

Kwa habari sa uhakika nilizonazo, Uber hawajafunga virago. Huenda wameelewana na serikali bado wapo wanaendelea kupiga kazi.
Mshana Jr
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
Wahakikishe usalama wa wateja ndio suala la msingi maana kuna watu wanalalamika sana kuhusu huduma hizi hasa akina dada
 
Hakika swala hili la usalama ni muhimu sana. Kukusanya taarifa sahihi za madereva na abiria kitu cha umuhimu. Lakini pia training na awareness muhimu. Hawa TANTAXI wana function ya kuripoti masaa 24 kwa kupiga simu kwa app pindi ikitokea changamoto.
 
Mkuu kama unafanya marketing ni afadhali usiandike kama vile wewe sio party of the team wakati ni part of it
 
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
Wafanye marketing ya kutosha.. Kwa mfano sasa mimi ndio naisikia leo na sipo peke yangu
 
Back
Top Bottom