Habari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache wamenishawishi nafikiria hivi karibuni nitafute mtu aingie mzigoni?
Wenye uzoefu nijuzeni faida na hasara? Wapi niwe makini nk
Asante, nitapita kusoma comments
Sent using
Jamii Forums mobile app