Uber inalipa?

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,287
Habari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache wamenishawishi nafikiria hivi karibuni nitafute mtu aingie mzigoni?
Wenye uzoefu nijuzeni faida na hasara? Wapi niwe makini nk
Asante, nitapita kusoma comments

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyuzi kadhaa humu JF kuhusiana na biashara ya uber, watu wameelezea kwa kina. Jaribu kusearch wakati unasubiri michango ya wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…