Ukiendesha wewe nitakua nakuita kila sikuHabari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache wamenishawishi nafikiria hivi karibuni nitafute mtu aingie mzigoni?
Wenye uzoefu nijuzeni faida na hasara? Wapi niwe makini nk
Asante, nitapita kusoma comments
Sent using Jamii Forums mobile app
Okei asanteUzoefu wa kupanda uber unaonyesha pengine ililipa mwanzo kwasasa madereva wanalalamika hazilipi tena, wengi wamerudisha magari. Faida kwa abiria hasara kwa madereva....
Anza kwa kutumia mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako badala ya petrol ndo utapata faida inayoeleweka. mfumo huo hautakugharim zaid ya mil 1.8. |
Sijaelewaa hapa
Anza kwa kutumia mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako badala ya petrol ndo utapata faida inayoeleweka. mfumo huo hautakugharim zaid ya mil 1.8.
Anza kwa kutumia mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako badala ya petrol ndo utapata faida inayoeleweka. mfumo huo hautakugharim zaid ya mil 1.8.
mfano tuseme unatumia IST ya makonda! kg 1 ya ges ni sh 1450 utatembea km 25-30. lakin petrol lita 1 sh 2400 utatembea km 10-12 hivi. huon uafueni wa kipato hapo. bado service unafanya kwa km nying km mara tatu ya matumiz ya petrol. bado unalinda mazingira. bado unatunza injini.Asante mkuu niliona sehemu maelezo kuhusiana na mfumo huu nilichukua number zao nitawatafuta