cpb Senior Member Joined Nov 1, 2014 Posts 156 Reaction score 87 Oct 3, 2021 #1 Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga Nakaribisha mawazo yenu
Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga Nakaribisha mawazo yenu
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Nov 13, 2021 #2 Dodoma safiii