Ubinadam ni salamu bila salamu hakuna ubinadamu,, Mashemeji zetu mda mwingine mnatuweka rehani,, utasikia "SHEM NLIKUMISS jomoniiiiiiii"

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Hizi i miss u i miss u mda mwingine zinatutia majaribu mjue,, shem i miss u mnaitolea puani? mbona broo/mwana/mzee baba humtolei ya puani?
mashemeji zangu mpunguze mbwembwe katika salam,, unakuta shem kalegeza sauti hadi kujibu i miss u too tunasitasita,
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KE mnazingua mjue,
 
Anakukumbatia kabisa wenyewe wanaita udhungu!!
 
Aiseee hao watu nmepta nao kama wa 3 hvi hiv Ila ucpokuwa makin na kichwa ngumu unaangushiwa jumba bofu
 
Ukiona una kigugumizi hivo kata cm then mtumie sms
 
Kuna vishem vidada duu kichwani empty na havina future vyenyewe vinaringia sura na kalio la kujibinua, hivyo cheza navyo mbali ni hatari sana. Vipo tayari kutoa chochote mradi avae vizuri na ashike simu kali!!

Hasa shem mtu ukiwa na vijihela vya kubadilisha mboga na kujaza mafuta!! Utajuta kuitwa shem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…