Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
Hakuna kitu kinachoniuma kama mtu umkopeshe pesa halafu mpaka uanze kumdai, hii kwenu imekaaje members wa jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za Jpm usikopeshe mtu pesa zako hata kama ni nduguyo. Mwenye sikio na asikie.hakuna kitu kinachoniuma kama mtu umkopeshe pesa halafu mpaka uanze kumdai ,hii kwenu imekaaje members wa jf
Pole sana ila kutokudai huo ndio ubinadamuHakuna kitu kinachoniuma kama mtu umkopeshe pesa halafu mpaka uanze kumdai, hii kwenu imekaaje members wa jf
Vyuma vimekaza.Pole usikopeshe tena binadamu wamebadilika
kabisa mkuu au unakuta mwengine anakwambia "Mimi mwenye nadai watu pia na wananizungusha"Inakera mno afu mwingne unakuta anakupa majibu ya hovyo like nadaiwa na wengi so ww kua mvumilivu tu or nalipa kwanza maden ya hatar then ww