Ubinafsi na tamaa chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA

Pole sana binti inaonekana anayekukaza hakupatii vzuri mwqnamke anayekunwa abwabwaji hiv

CHADEMA IPI UNAYOIZUNGUMZIA MBONA HATA UCHAGUZI HAIJASHIRIKI LAKN BADO IPO MDOMONI MDA WOTE


HAPO NDIO UJUE CHADEMA N ZAIDI YA CHAMA CHADEMA N MAISHA YA MTANZANIA YA KILA SIKU SERA ZAKE N DAWA NA TIBA TOSHA NAZINAFARIJI NA KUTIA MOYO
 
Unatafuta kuporomoshewa matusi na hawa makamanda uchwara. Shauri yako🤣
 
CHADEMA walifikiria nini kumpa Lema cheo kinachohusiana na fedha ndani ya chama chao?
Hata kama ingekuwa kweli kapewa cheo kinachohusiana na hela, hizo hela angekuwa anakaa nazo nyumbani kwake? Bado mna propaganda za karne ya 19 miaka hii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…