Ubinafsi ni ubinafsi tu

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu.
 
Wewe ni mwizi na umekoswa kosea kuuwawa.pole Sana jizi wewe.

Tafuta vyako kwa njia halali utakuja kuuwawa kweli simasihara
 
Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu.

bila shaka umenusurika kuuawa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha bila ubinafsi yanawezekana??
I don't think so
 
hata huyo Mungu wa mbinguni ni mbinafsi ndiomaana akamsukumia shetan aje uku dunian kututesa, wakat huo huyo Mungu kajificha zake uko mbingun anakunywa maji ya uzima na vijana wake wakina gabriel..sasa sie viumbe wake ninani tusiwe wabinafsi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…