Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Ukimjua ni nani ndio utaelewa y anaongea hv..Mkuu, wewe ni mtaalam katika fani ya 'Political Science'?
Hii mada umelalamika sana, lakini haieleweki unamlenga nani hasa, huoni kuwa hilo ni tatizo katika uandishi wako?
Unaandika kijumla jumla tu, unataka msomaji wako aelewe kitu gani?
Kama unaona nakuonea wewe kwa ulalamishi usiokuwa na lengo, basi elewa kwamba siyo wewe pekee mwenye tabia ya namna hiyo. Hii ni tabia mbovu sana ya kiTanzania, na ndiyo maana, hata hao unaowalalamikia hawastuki, kwa sababu wanajua huna uthubutu wa kutaja yeyote, matokeo yake wanapuuzia malalamishi yenu.
Kuna ugumu gani kuwa 'direct', kuwa kiongozi fulani kafanya hili na lile, na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa juu yake
'Poppy Hatonn', member wa JF tokea 2021.Ukimjua ni nani ndio utaelewa y anaongea hv..
*Was a first first son.
Nina hakika nipo upande mmoja na mwandishi wa haya maneno. Natamani tu angekuwa 'more direct' kuhusu anayozungumzia.Tabia ya ubinafsi inaliua taifa. Mali ya taifa siyo ya mtu mmoja,siyo ya familia moja. Na watu wengine wanatuambia kwamba hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii wakati tunaona wao wenyewe ndio wana hati miliki ya nchi hii.
Kwa hiyo awamu bàada ya awamu ya viongozi: kila kiongozi anakula urefu wa kamba yake. Hajali maendeleo ya wote. Hayo atamwachia kiongozi mwingine wa baadaye,ambaye alipokuwa mdogo hakulala ndani ya nyumba na mifugo.