Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,768 Reaction score 2,361 Jan 4, 2011 #1 Katika kuonyesha kuwa somo la ubinafsishaji limeeleweka vyema, mjasiliamali huyu amebinafsisha kivuli cha mti. Rostam upo hapo? Hii ni katika tembea tembea yangu mjini Kyela. Nawasilisha
Katika kuonyesha kuwa somo la ubinafsishaji limeeleweka vyema, mjasiliamali huyu amebinafsisha kivuli cha mti. Rostam upo hapo? Hii ni katika tembea tembea yangu mjini Kyela. Nawasilisha