Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia.
Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi bet hivyo yeye na mkewe walilipiwa gharama zote za safari kwenda na kurudi malazi vyakula vilipwa na kampuni hiyo ya betting hapa nchi chini ya usimamizi wa Diamond platnumz.
Sasa ndugu zangu ubingwa gani alikuwa nao Haji kabla hajaenda Dubai? Hali iyopeleke kushinda kuutetea pindi alipokuwa huo?