Kucheza na marefa na kununua mechi kweli hapa kwenye hii karata hatuwawezi.Bingwa ni Yanga kwa mara ya nne mfululizo,tukutane mwisho wa ligi.
Yanga wanajua namna ya kupanga karata zao,na hapa ndipo tunapowazidi kete watani zetu wanaotangulia kwa mbwembwe...
Fact100%
Azam tunalamba[emoji509]Simba yetu mwaka huu hatari!!yeboyebo tunakula,mbao tunakula!!ubingwa wetu mwaka huu.
Huwezi kusema Sumba bora wakati miaka mitano hamjacheza mashindano ya kimataifa...aarrrghhhKwa fitna yanga wako juu ya simba,ila kimpira simba ni timu bora zaidi ya yanga.