S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,233 May 24, 2019 #1 Yaani nimeona mahali fulani nimechukia sana,nyie hamuoni tunavyojituma na kucheza kiubingwa bingwa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 25, 2019 #2 Ngoja waje kwa sasa wanajiandaa kusherehekea huo ubingwa wao kwa mara ya pili mfululizo mchana wa leo.
Ngoja waje kwa sasa wanajiandaa kusherehekea huo ubingwa wao kwa mara ya pili mfululizo mchana wa leo.
S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,233 May 25, 2019 Thread starter #3 leo wanasherehekea kombe lao
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 May 25, 2019 #4 Simba leo wako kwenye siku yao..
Tairi bovu JF-Expert Member Joined Sep 28, 2017 Posts 3,063 Reaction score 2,985 May 25, 2019 #5 haha wazee wa dk 7 fc wakishinda tu mpira unaisha. wanapewa penalt wakikosa wanapewa nyingine wakishinda mpira unakwisha
haha wazee wa dk 7 fc wakishinda tu mpira unaisha. wanapewa penalt wakikosa wanapewa nyingine wakishinda mpira unakwisha