Ubishani mkubwa waibuka Jangwani, wapaki basi au wafunguke?

Ubishani mkubwa waibuka Jangwani, wapaki basi au wafunguke?

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Changamoto imekuwa kubwa, ni jinsi ya kuikabili Simba.

Wengine wakitoa hoja kuwa usajili mpya umewaimarisha hivyo wafunguke, lakini wale wanaosema kupaki basi ndio suluhisho la kuiepuka aibu wanaelekea kushinda.

Ngoja tujionee nani mshindi.
 
Mimi kama mwana Yanga sc naona kesho tupaki basi tu.

Nyuma mbele daima mwiko
 
Kocha na 'kapten' wanatofautiana pia.......! Mmoja anaamini kwenye KUPAKI BASI kulingana mziki watakaokutana nao.....! Na hivyo anawasihi abadani WASIFUNGUKE..!
 
Kocha na 'kapten' wanatofautiana pia.......! Mmoja anaamini kwenye KUPAKI BASI kulingana mziki watakaokutana nao.....! Na hivyo anawasihi abadani WASIFUNGUKE..!
Kwa akili hizi timu za tanzania zitaishia kucheza mpira radioni tu. kama shabiki hajui kazi za captain na kocha basi uwanjani basi kazi ipo
 
Changamoto imekuwa kubwa, ni jinsi ya kuikabili Simba.

Wengine wakitoa hoja kuwa usajili mpya umewaimarisha hivyo wafunguke, lakini wale wanaosema kupaki basi ndio suluhisho la kuiepuka aibu wanaelekea kushinda.

Ngoja tujionee nani mshindi.
WAACHE UFALA HAO YANGU ....YAN YALIVYO MABWE,,,,,,G YATAKAA NYUMA YA MPIRA KAMA NDANDA BORA YAFUNGUKE TUONE LADHA YA MECHI. MPIRA MAGOLI.... YANGA ACHEN UCHIZ KUWEN KAMA NORWICH AU ARSENAL FUNGUKEN BANA WATU TUENJOY SOKA. ACHEN UPUMBAVU WA KUPAKI BAS
 
Back
Top Bottom