kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mimi ni shabiki wa Simba Sc. Lakini unaweza ukashangaa kesho Yanga wana tupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio shabiki wa simbaMimi ni shabiki wa Simba Sc. Lakini unaweza ukashangaa kesho Yanga wana tupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma kuna masufuriaMimi kama mwana Yanga sc naona kesho tupaki basi tu.
Nyuma mbele daima mwiko
AiseeeNyuma kuna masufuria
Hakuna kitu kama icho. Wakipata sare watashangilia sanaMimi ni shabiki wa Simba Sc. Lakini unaweza ukashangaa kesho Yanga wana tupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili hizi timu za tanzania zitaishia kucheza mpira radioni tu. kama shabiki hajui kazi za captain na kocha basi uwanjani basi kazi ipoKocha na 'kapten' wanatofautiana pia.......! Mmoja anaamini kwenye KUPAKI BASI kulingana mziki watakaokutana nao.....! Na hivyo anawasihi abadani WASIFUNGUKE..!
WAACHE UFALA HAO YANGU ....YAN YALIVYO MABWE,,,,,,G YATAKAA NYUMA YA MPIRA KAMA NDANDA BORA YAFUNGUKE TUONE LADHA YA MECHI. MPIRA MAGOLI.... YANGA ACHEN UCHIZ KUWEN KAMA NORWICH AU ARSENAL FUNGUKEN BANA WATU TUENJOY SOKA. ACHEN UPUMBAVU WA KUPAKI BASChangamoto imekuwa kubwa, ni jinsi ya kuikabili Simba.
Wengine wakitoa hoja kuwa usajili mpya umewaimarisha hivyo wafunguke, lakini wale wanaosema kupaki basi ndio suluhisho la kuiepuka aibu wanaelekea kushinda.
Ngoja tujionee nani mshindi.