Ubishi wa Diamond na Ney wa Mitego

Ubishi wa Diamond na Ney wa Mitego

Mawazo yangu

Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
37
Reaction score
18
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya

Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet

Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo unakuwa halisi sana

Kingine promo, jamaa wamejitahd sana kufanya promo tena kwa namna ya kibunifu kidogo, kuna clips zilianza kusambaa instagram na whatsapp tangu juz usiku na jana ambapp wameurelease officially na zimeendelea had leo pia zikiwashirikisha had waigizaj na wachekeshaj.

Inshort when comes to business hawa jamaa wanajua namna ya kuuza.

Sitashangaa tena kama huu wimbo ukimuingizia Ney hela nyingi sana
 
Jana walipokuwa wanahojiwa Ney anadai kuwa Dai amekuwa kama Mbwa wa Kizungu analamba bahari yote......
Eti ulipotoa Kamwambie wakasema kuwa Una domo kubwa leo hii eti Umekuwa Handsome
 
Wanaleta ladha mpyaa ktk mziki big up to chibu na Ney
 
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya

Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet

Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo unakuwa halisi sana

Kingine promo, jamaa wamejitahd sana kufanya promo tena kwa namna ya kibunifu kidogo, kuna clips zilianza kusambaa instagram na whatsapp tangu juz usiku na jana ambapp wameurelease officially na zimeendelea had leo pia zikiwashirikisha had waigizaj na wachekeshaj.

Inshort when comes to business hawa jamaa wanajua namna ya kuuza.

Sitashangaa tena kama huu wimbo ukimuingizia Ney hela nyingi sana

Niwekee link ni download nipate kuwasikia
 
Aya weeee..
Aya weeeeee..

Nasikia Mbuzi kala mkeka,binti kaenda kwao, lelele Mafundi wamemteka kakuachia na mwanao.

Hahaha Mpe nyonyooooo
 
sa nahisi unakosa adabu
huna ustaarabu
na ntakupa adhabu
 
sema beat la wimbo lina kimbia sana fulu mawenge kwa ney saut ya chibu inabanwa sana lakini huu ni wimbo wakazi haswa.. ney apa nyota lazima ingae.
 
Aya weeee..
Aya weeeeee..

Nasikia Mbuzi kala mkeka,binti kaenda kwao, lelele Mafundi wamemteka kakuachia na mwanao.

Hahaha Mpe nyonyooooo

"sasa unakosa adabu......hauna ustaarabu.....na ntakupa adabu/adhabu...."

hiki kipande huwa nacheka sana jinsi ney anavyo mmaindi diamond!!
 
a a a Unanionea,
Mbona yangu unayaongea,

tatizo kitu kidogo mpaka ugombane
 
Back
Top Bottom