BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Kabisa mzee mwenzanguππKweli nimezeeka.
Naona unaingia kwa invite . Hebu nitumie hiyo invite namimi nikajionee nisipitwe banaMuonekano wa Clubhouse. Hiyo ni moja ya club nimejoin
View attachment 1812347
View attachment 1812348
Naomba kuuliza kama na sie watumiaji wa Android nao tunaruhusiwa kutumiaMuonekano wa Clubhouse. Hiyo ni moja ya club nimejoin
View attachment 1812347
View attachment 1812348
π Ni Vema mtu wako wakaribu. Huku Jf tunatumia fake ID, Mkuu.Naona unaingia kwa invite . Hebu nitumie hiyo invite namimi nikajionee nisipitwe bana
Yah! Naona wametoa na Android versionNaomba kuuliza kama na sie watumiaji wa Android nao tunaruhusiwa kutumia
πππTotoz huko vipi za kumwaga?
Yaani mkiwa geto ni ligi mwanzo mwisho ππππππ
Jamii ya kina Maria sarungi na Fatma Karume (joking )
πππ Inakubidi ujishushe tuYaani mkiwa geto ni ligi mwanzo mwisho πππ
No vishunduππππ
Jamii ya kina Maria sarungi na Fatma Karume (joking )
nimeanza kutumia juziTotoz huko vipi za kumwaga?