Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
maana yake nini?
[ By Nyani Ngabu
Uboho ni neno la Kiswahili na si tusi.
Hata nyoko ni neno la Kiswahili na si tusi.
kwanza nyoko si neno rasmi la kiswahili bali ni neno la kibantu likiwa na maana ya mama yako=mamaako
uboo vile vile sio tusi. ni kiungo cha mwili kama vile mkono au sikio!Oyaaaaaaaaa acheni kutania koo za watu humu! Mboro ni ukoo wa jamii fulani huku uchagani. Maana yake ni risasi. So sio tusi. Uboho =bone marrow as have been said here. Labda tungsema uboo tungenyumbulisha hapo.
Nalisikia kwa mara ya kwanza
Kwanini.....?Nilijua hukosekani humu
Na Kiswahili ni mseto wa lugha kadhaa....
Kwa Kisukuma mama ni 'noko'....kwa hiyo uko sawa kabisa.
Maana yake ni 'mama yako'.
Ndio maana kuna lile tusi la 'k-nyoko' likimaanisha 'k-mama'ako'.
Nadhani maana yake mama
uboho au uboo?
Ni neno la Kiswahili tu kama Libolo ilivyo huko Angola.......lolest!!Naomba kufahamu kama hili ni neno sahihi na sanifu lakiswahili ama ni tusi na lina athari gani kutamkwa?Watu wengi wamekuwa wakisema hili neno si zuri kulitamka mbele za watu.Nawakilisha.