Ubonge noma

Ubonge noma

angelca

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Habari zenu jaman! Naomba mnisaidie njia za kupunguza unene ikiwezakan hata anae jua dawa za kuondoa hamu ya kula plz wadau nisaidien najichukia sana.mazoez Na diet nimeshindwa kbs
 
Habari zenu jaman! Naomba mnisaidie njia za kupunguza unene ikiwezakan hata anae jua dawa za kuondoa hamu ya kula plz wadau nisaidien najichukia sana.mazoez Na diet nimeshindwa kbs

Diet na mazoezi umeshindwa ushauri wetu utauweza?
 
​kuna mwenzio kule ameanzisha uzi kuwa hapendi wembamba nenda mkabadilishane
 
Attachments

  • FITOFORM + PLUS.jpg
    FITOFORM + PLUS.jpg
    46.9 KB · Views: 127
Back
Top Bottom