Ubongo interchange to cost sh 9 b

This is rubbish my friend, who did it ?
 
kidaraja cha furahisha mwanza kimecost 4.5 billions hiyo kitu ndo iwe 9 bln? hivi mbona hili li nchi limekuwa la uongouongo na ma kick ya kingesengese?
hii sio ya ubungo ila ubongo huko kenya sisi hatuna mji huo
 


Thika Highway? Give me a break! Hiyo highway imejengwa kwa ajili ya Wakikuyu kwenda shambani thika lkn siyo kwa Wakenya, nimefika Thika na demu wangu, hkn chochote huko, bora hata wangejenga ile ya kwenda Mombasa!

Ubungo siyo kwa ajili ya Wakikuyu kama Thika highway Kenya bali ni kwa Watanzania wote!
 
Ati from 8lanes hadi 2lanes...huhuhuhuhuhu
 
Haha Mimi nasema price job!..thika ni 35 b na ina interchanges kibao....alafu interchange moja 9 b na hamna supper highway
 
The price ndio shida 9 billion
Tatizo hujawahi kuona interchanger inavyokua na wala gharama zake, hii ndiyo mara ya kwanza kusikia, kama ambavyo ulikua hujui gharama ya BRT, sasa hivi kwa sababu imeshajengwa TZ, mkijenga yenu mtaweza kulinganisha gharama, tulia ikamilike uone ndiyo uweze kusema kama hiyo bei ni sawa au hapana, ila tunakuhakikishia Magufuli ni mtu bahili wa pesa sana, utashangaa hiyo 9B ni ndogo sana kwa hiyo interchanger itakavyokuwa
 
Haha Mimi nasema price job!..thika ni 35 b na ina interchanges kibao....alafu interchange moja 9 b na hamna supper highway
Hata fly over hakuna thika, vilivyopo ni mlinyanyua matuta na kupitisha barabara juu, hivyo vinaitwa cross over, sio fly over
 
An interchange with NO super highway=PROCONSUL thinking.
 
Ata za south Africa si shs 9 billion..hapo mligongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…