Moja kwa moja kwenye hoja kuntu,kuna utaratibu hufanywa na wenye dhamana ya kumfanyia upasuaji wa kichwa na kutoa ubongo pale inapotokea mtu kaaga dunia ambayo haiambatani na kuumwa.Mfano mathalani marehemu amepigwa na rungu katika purukshani za ugomvi na hatimaye kafa iweje afanyiwe upasuaji ilhali chanzo cha umauti kinafahamika kuwa ni rungu alilopigwa,sasa ubongo unachukuliwa kwa kazi gani?