Ubongo wa binadamu na utunzaji wa kumbukumbu

Iv mkuu kuna uhusiano wowote wa kupoteza kumbumbukumbu kwa mtazamaj wa picha pornography?

Pornography ina effect kwa mtazamaji memory, focus, activeness, etc hasa wale wanaokuwa addicted au heavy users (Sio kwa psychological effects pekee, inaenda mpaka kuwa physical effects afterwards). Kwa sasa ni rahisi sana kuwa addicted kwa sababu access ya kila aina ya pornography imefanywa kuwa rahisi sana kwa kuwepo internet. Gary Wilson anaelezea vizuri effects za internet pornography katika ubongo wa mtazamaji aliyebobea. Angalia video hii na kama kuna eneo gumu kueleweka tunaweza kujadili.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mtu kuwa "clinically dead" inamaanisha nini?

Hizi short minds zina shida sana!
Mtu hata maana ya "clinically dead" hujui alafu wajifanya rational minded.
Kutokujua tu maana ya neno hilo, inaonyesha ni namna gani una kiasi kidogo cha general knowledge, kwanini tusiamini sasa hata ufahamu wako juu ya RATIONALITY ni mdogo!!???

Hao mnao waona ndio fathers na profounders of the so-called RATIONALITY and LOGIC hawakuweza kukwepa juu ya dhana ya existence of supernatural being pindi walipokuwa waki-extract the source and uses of the knowledge.

Mfuate leo any practicioner of a KABALLA especially ile ya GREEK iliyotokana na ya BABYLON atakuambia founders of their OCCULT ni miongoni mwa kina PLATO, PYTHOGRASE, and the likes.

Sasa hebu jiulize how come the founders of the so-called LOGIC and RATIONALITY wanafanya occult.

Ina maana walishindwa kutumia only their sense of organs and rational thinking kutafuta the source and uses of the knowledge!!!????

Binadamu ni binadamu tu, no matter what, huwezi kuzungumzia complexity of a human body pasina kutambua mchango wa MUNGU on that complexity.

Hivyo basi mtu kutambua uwezo wa MUNGU juu ya complexities itokeayo katika differnt bodies si UJINGA kama unavyojiaminisha na kutaka kuaminisha watu.
 


Kwani kuwa rationally thinker maana yake unajua kila kitu? Unajua nilikuwa na maana gani kuuliza hilo swali? Short minds ni kitu gani? Wewe mwenye long mind mbona hujanipa jibu?What has that bunch of bullshit in red got to do with my question?
 

mkuu hichi kitu huwa kinaniumiza sana akili
 
Noma
 
Swadakta
 
Mkuu umeleta kitu kizuri ila humu ndani kunamtu aliwahi kueleza utofauti wa mind na brain akiuhusisha ubongo ! Na swal lilikuja kwenye matendo ya siku kwa siku, watu unaokutana nao na namna ubongo unavyo yachakata je kwa nini unaletq taarifa ya kusahau halafu haukwambii ulichosahau?
 
Hapa ngoja aje mkuu Marcostilone atupe mwongozo
 
Hahahhhh mkuu Matunzo 02 na camp konzi njoo utie neno huku kuhusu ubongo na meditation...
simama wima nyoosha mikono juu iunganishe kama vile unaomba bana pumzi pinda kwa kutumia mgongo kurudi nyuma huku umebana pumzi kwa sekunde 20. Kitakacho tokea kwenye ubongo ni ufanyaji kazi mkubwa wa ubongo.
 
Ni vyakula gani vinasaidia kuboresha uwezo wa ubongo kutunza kumbukumbu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…