Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Moja ya maajabu yanayowashangaza wanasayansi ni ukweli kwamba kipindi cha ujauzito ubongo wa mwanamke hupungua size yake na kusinyaa, hali inayopelekea pia kushuka kwa IQ ya mwanamke.
Kutokana na vipimo vya kimaabara kwa kutumia vifaa vya mionzi ya usumaku(magnetic resonance imaging technique) imethibitishwa kuwa kila mwanamke anapokuwa mjamzito,seli za ubongo "hubana matumizi na hujikondesha" kwa makusudi katika kipindi hiki ili kuelekeza nguvu kubwa katika kukuza kiumbe kilichomo tumboni.
Ikumbukwe kuwa ubongo ndio mlaji mkubwa wa misosi yote tunayokula na maji yote tunayokuywa, kuliko organ yoyote ile katika mwili.
Madhara ya kupungua kwa size ya ubongo na kusinyaa huku wakati wa ujauzito ni pamoja na kuongezeka kwa usahaulifu, uchovu, kushuka kwa kinga ya mwili, tabia ya kupoteza vitu, kupungua kwa uwezo wa concentration, na mengineno mengi.
Kupungua kwa IQ ya mwanamke wakati wa ujauzito hutokana na kusinyaa kwa seli za ubongo na neurons za ubongo za kusafirisha na kupashana taarifa katika ubongo.
Ni kama vile internet speed inaposhuka kwenye modem au simu huwezi kutuma au kupokea taarifa kwa spidi ambayo umeizoea au quality uliyoizoea.
Hali hii hupelekea kushuka kwa uwezo wa kujifunza mambo mapya na kuyahifadhi katika ubongo, lakini pia kupungua kwa quality ya kusafirisha habari zilizohifadhiwa kutoka point A ya ubongo kwenda point B.
Kwamba kama taarifa ya rangi ya nyumba anayokaa mwanamke iliyohifadhiwa kwenye ubongo wake kabla ya ujauzito ni rangi nyeupe, wakati wa ujauzito taarifa ile kwa sababu ya ubongo kusinyaa na neurons za kusafirisha kumbukumbu kupunguza quality na kushindwa kuendana na kasi ya maisha ya nje rangi ya nyumba anayokaa inaweza kufikishwa kwenye akili yake kuwa anakaa kwenye nyumba ya blue.
Wengi ya wanawake wamekuwa wakibadilika sana tabia kipindi cha ujauzito na kurudi kwenye hali ya kuwa kama watoto wadogo, kuona maruwe ruwe na kuwa na vitu vingi wanavyovichukia na kuvipenda, lakini hali hii mara zote ni kwa sababu ya kusinyaa huku kwa bongo zao.
Mabadiliko ya homornes yanayosababishwa na ujauzito mara zote hutokea kwa sababu ya ubongo wa mwanamke kipindi hiki kujitahidi kubana matumizi yake, na kuzikondesha seli zake kwa lazima.
Mifumo ya hormones kwa kuligundua hili hujitahidi kujirekebisha na kubadili priority zake ili kuendana na mazingira haya ya kubana matumizi hali inayopelekea mjauzito kuwa na priorities za ajabu ajabu, likes na dislikes zisizoeleweka, kuwa rafu, kupenda kujiliza liza, kupoteza interest ya mambo mengi na kero zote za ujauzito unazozijua au ulizowahi kuzisikia.
Mara nyingi mimba za watoto wa kiume, na mimba za watoto wa kwanza zimekuwa zikiwasumbua sana wanawake tofauti na mimba za watoto wa kike au mimba za watoto wa pili na kuendelea.
Tafiti pia zinaonyesha kwamba stress mimba ya mtoto wa kiume au mimba ya mtoto wa kwanza inazosababisha wakati wa ujauzito katika ubongo wa mama mjamzito ni kubwa kuliko stress za mimba ya kike, kwa sababu ya rate ya ulaji wa kiumbe cha tumboni, rate ya ukuaji wa viungo na mambo mengine hali inayopelekea pia ubongo kusinyaa mno wakati wa ujauzito na hivyo mimba ya kiume kuwa "ngumu kulea" kuliko ya mtoto wa kike.
Hali hii ya kusinyaa kwa ubongo hujirekebisha taratibu yenyewe na kurudi hali ya kawaida ya zamani kabla ya ujauzito ndani ya miezi 6, mara baada ya mwanamke kujifungua, na hivyo mwanamke kurudi katika hali ya zamani na IQ kupanda pia.