UBONGO

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Kuna mtu alitaka kununua ubongo ambao uko used (kama vile tunavyonunua used cars)
Ubongo wa mzungu ulikuwa bei ndogo kabisa (dola kumi)

Ubongo wa mwarabu upo bei juu kidogo (dola Ishirini)
Ubongo wa Mwafrics uko ghali kweli kweli (dola mia moja)
Yule mnunuzi akashangaa akasema nilitegemea ubongo wa mwafrica ungekuwa ndio bei ndogo.
Muuzaji akamjibu kuwa ubongo wa mwafrica ni ghali kwa kuwa umetumika kidogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…