CaptainKing
Member
- Feb 21, 2023
- 14
- 18
Nawangoja mkuuWanakuja
Chukua EliteBook 840 G3 | Sababu ina processor na graphics bora zaidiNaomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4
Mkuu hii dukani bongo unafahamu bei zake?Chukua EliteBook 840 G3 | Sababu ina processor na graphics bora zaidi
Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenyeMkuu hii dukani bongo unafahamu bei zake?
Good.Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenye
Andaa kati ya 450,000 hadi 700,000 |
- SPEC: Intel i5, 8GB RAM, 256GB SSD
- Intel i7, 16GB RAM, 500GB HDD
Kwa i7 | Tafuta Lenovo ThinkPad T470Good.
Kati ya Hp hii na Lenovo size hii, ile ya ssd ungwpendekeza ipi?
Generation ya ngapi?Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenye
Andaa kati ya 450,000 hadi 700,000 | Ambapo i5 itakuwa bei n fuu kiasi ukilinganisha na i7
- SPEC 1: Intel i5, 8GB RAM, 256GB SSD
- SPEC 2: Intel i7, 16GB RAM, 500GB HDD