T Trebla84 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 510 Reaction score 637 Apr 20, 2020 #1 Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?
Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Apr 21, 2020 #2 WOTE.
T Trebla84 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 510 Reaction score 637 Apr 21, 2020 Thread starter #3 makaveli10 said: WOTE. Click to expand... Wote walikuwa Bora Ila unakumbuka Kahn walikuwa wanasema ana mikono elfu moja kabla ya Ile fainali ya kombe la dunia 2002
makaveli10 said: WOTE. Click to expand... Wote walikuwa Bora Ila unakumbuka Kahn walikuwa wanasema ana mikono elfu moja kabla ya Ile fainali ya kombe la dunia 2002
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 21, 2020 #4 Wapo vizuri... Cc: mahondaw
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Apr 22, 2020 #5 Trebla84 said: Wote walikuwa Bora Ila unakumbuka Kahn walikuwa wanasema ana mikono elfu moja kabla ya Ile fainali ya kombe la dunia 2002 Click to expand... Yale ni maneno tu, Woote ni bora, nikisema niwarate kwangu wote wanaambulia 9:10
Trebla84 said: Wote walikuwa Bora Ila unakumbuka Kahn walikuwa wanasema ana mikono elfu moja kabla ya Ile fainali ya kombe la dunia 2002 Click to expand... Yale ni maneno tu, Woote ni bora, nikisema niwarate kwangu wote wanaambulia 9:10