Ubora na soko la Masters ya special education.

Ubora na soko la Masters ya special education.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wadau hapa jamvini ni kiwanda cha kuelimishana na kupashana habari hakuna kinacho haribika,tafadhali hebu tueleweshane kuhusu mastarz ya special education ina ubora gani? vipi kuhusu soko? qualification za kujiunga na chuo zikoje? nasikia kwa Tanzania is only offered at SEKuCO/SEKOM in Lushoto!
 
Hili jukwaa sasa hivi linatawaliwa na form 6 leaver hayo ya masters hawajui wanajua TCU na HESLB wasomi wako Jukwaa la siasa na MMU.
 
Mario-Balotelli-of-Italy-shaking-hands-with-Pope-Francis-during-an-audience-at-The-Vatican-2161564.png
 
Back
Top Bottom