Ubora na tofauti za Honda HR-V NA CR-v

The Black Master

New Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Habari zenu jamaa.. Naomba kujua zaid kuhusu tofauti ya gari hizi.. Honda HR-v.., na CR-v ikiwa ni pamoja na upatikanaji wake wa spare parts.. Uwezo wa kuhimili mikiki kwa kila moja..
 
Ingawa zote zina sura mbaya lkn atleast cr-v ziko ziko mtaani nadhani hata spare zake zitakua zinapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…