Malcom_X
Member
- Mar 23, 2017
- 20
- 50
Habari Wadau, Nimepata tenda ya kusimamia mashamba ya parachichi ya Waholanzi sasa wamenipa pesa kiasi ya kununua usafiri Off- Road.
Kuna bajeti ya 20M kwa ajili ya gari hapa nafikilia 8M natia mfukoni alafu 12M nitafute hiki kigari SUZUKI JIMNY je kitahimiri mikiki ya huko shambani kwa WAZOEFU wa hii gari msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app