Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

Malcom_X

Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
20
Reaction score
50
Habari Wadau, Nimepata tenda ya kusimamia mashamba ya parachichi ya Waholanzi sasa wamenipa pesa kiasi ya kununua usafiri Off- Road.

Kuna bajeti ya 20M kwa ajili ya gari hapa nafikilia 8M natia mfukoni alafu 12M nitafute hiki kigari SUZUKI JIMNY je kitahimiri mikiki ya huko shambani kwa WAZOEFU wa hii gari msaada tafadhali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiki kigari ni kizuri.nilitaka kukinunua kuna fundi aliniambia spea zinasumbua, na akaniambia vingi vinaletwa kwenye halmashauri ila vinakufa haraka na vinapaki kwa kukosa spea, iliwauliza zaidi ya mafundi watatu
 
Mswahili tabu kabisa yaani muda wote anawaza ufisadi tuu!ndiyo maana mashirika ya umma yanakufa halafu jiwe anataka airtel waswahili waingie katika management kwa wingi itakua kama ttcl
FaizaFoxy
MSAGA SUMU
Pascal Mayalla
Mshana Jr
 
Yeah Escudo ipo Poa sana hasa apate Manual transmission atafurahi sana kwa shughuli za shamba
Saana. Nimemiss gari manual kwa kweli. Kwenye soko la used zinakuwa ghalama zaidi kuliko automatic. Ila hilo dude ni gumu saana. Na linamuonekano mzuri kidogo kuliko generation ya nyuma yake
 
Hii chuma ndo yenyewe mkuu...hii ndo my dream car kwa trip za town
 
Gari zuri sana spare za kumwaga ila bei kinapita sehemu yoyote hakikwamwi. Ila kina mashine ndogo cc 1300 hakiwezi kuhimili mwendo mrefu na mikiki mingi ndio maana watu wengi wanaviua vinataka misele kidogo
Hio ni suzuki jimney wide kaka hiki chenyewe ni cc660
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…