Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Habari wanajukwaa
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
Tzs 500,000-750,000
Specs zake
Wakuu nauliza kama aliewahi kuitumia inafaa? kama haifai unapendekeza ipi?
Natanguliza shukrani zangu
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
- Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C#
- Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop
- Kutumia App za Microsoft kama MS Excel,Word; na Libre Office
Tzs 500,000-750,000
Specs zake
- Intel Core i5 8th-Gen 8365U, 2.5GHz
- 8GB DDR4 RAM, 1.8GHz, 256GB NVMe
- 14-inch FHD IPS, 1920×1080 touchscreen, 500nit Peak
Wakuu nauliza kama aliewahi kuitumia inafaa? kama haifai unapendekeza ipi?
Natanguliza shukrani zangu