Kwa 500K sio mbaya hio laptop, ila kama budget Inafika hadi 750K ushauri wangu tafuta intel gen ya 11. Hii gpu yake ya ndani ni nzuri zaidi itakusaidia sana kwenye apps za Adobe, pia single core perfomance ni kubwa kama una kazi nzito nzito za Excel na Java script itasaidia.Habari wanajukwaa
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
HP Elitebook 840 G6 (Refurb) nimeona ndio inaendana na bajeti niliyonayo:
- Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C#
- Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop
- Kutumia App za Microsoft kama MS Excel,Word; na Libre Office
Tzs 500,000-750,000
Specs zake
- Intel Core i5 8th-Gen 8365U, 2.5GHz
- 8GB DDR4 RAM, 1.8GHz, 256GB NVMe
- 14-inch FHD IPS, 1920×1080 touchscreen, 500nit Peak
Wakuu nauliza kama aliewahi kuitumia inafaa? kama haifai unapendekeza ipi?
Natanguliza shukrani zangu
Shukrani sana nitalifanyia kazi hiliKwa 500K sio mbaya hio laptop, ila kama budget Inafika hadi 750K ushauri wangu tafuta intel gen ya 11. Hii gpu yake ya ndani ni nzuri zaidi itakusaidia sana kwenye apps za Adobe, pia single core perfomance ni kubwa kama una kazi nzito nzito za Excel na Java script itasaidia.
Bei zake zinarange humo 600-700K
Sasa hiyo 32GB RAM yote ni ya nini, kwani unaenda kufanya rendering ya 8K videos, kwa matumizi yako hata 16GB bado ni Overkill, kama bajeti yako haina longo longo basi ishia 16GB.[emoji736]Noted RAM nitaiongeza umenena jambo la maana 32GB RAM & 512GB SSD sio?
Mkuu hivi gen 11 kuna zinazokuja na Thunderbolt kweli...!?Kwa 500K sio mbaya hio laptop, ila kama budget Inafika hadi 750K ushauri wangu tafuta intel gen ya 11. Hii gpu yake ya ndani ni nzuri zaidi itakusaidia sana kwenye apps za Adobe, pia single core perfomance ni kubwa kama una kazi nzito nzito za Excel na Java script itasaidia.
Bei zake zinarange humo 600-700K
nafanya basic yaani kujifunza na sio pro level, bajeti yangu ni 500k-700k nimeona hapa 32GB RAM inafika milioni dah bora nikomae na 8GB PCsSasa hiyo 32GB RAM yote ni ya nini, kwani unaenda kufanya rendering ya 8K videos, kwa matumizi yako hata 16GB bado ni Overkill, kama bajeti yako haina longo longo basi ishia 16GB.
Hutaona tofauti ya kutumia 16GB na 32GB kwa matumizi yako hayo, na tofauti ya 8 na 16 ni kidogo kama utabaki kufanya hayo uyafanyayo.
Yah komaa na hiyo hiyo wala huna haja ya 16, mi nimefanya hayo mambo kwa 4GB sana tu, ila nilipokwama ni Photoshop kwanzia version ya 2021. Ndo nkaongeza RAM mpaka 8GB now iko smooth.nafanya basic yaani kujifunza na sio pro level, bajeti yangu ni 500k-700k nimeona hapa 32GB RAM inafika milioni dah bora nikomae na 8GB PCs
shukran sanaYah komaa na hiyo hiyo wala huna haja ya 16, mi nimefanya hayo mambo kwa 4GB sana tu, ila nilipokwama ni Photoshop kwanzia version ya 2021. Ndo nkaongeza RAM mpaka 8GB now iko smooth.
Ila siku budget ikikaa sawa, Hamia Apple M Series. Ukiwa na million 1.3-5 ukivizia vizuri unapata M1 macbook Air. Inazidi windows Laptop za million 2 plus.
NB: Kuvizia ni Ebay.
Thunderbolt ni. Oem mwenyewe anaamua aweke ama asiweke, most of time wanaweka kwenye laptop za bei.Mkuu hivi gen 11 kuna zinazokuja na Thunderbolt kweli...!?
Sema kitu chengine mkuu kama unataka thunderbolt kwa ajili ya Gpu ama kazi nyengine zinazo taka high bandwidth unaweza tumia M2 port ya ssd, kutegemea na pcie version inaweza kupa bandwidth kubwa kushinda hata thunderbolt, watu wanatumia pia kuchomeka Gpu, japo utahitaji adapter ya maana kusuply umeme.Mkuu hivi gen 11 kuna zinazokuja na Thunderbolt kweli...!?
Hapa umenipa pa kuanzia mkuu, ngoja nifanye Research zaidi, shukrani.Sema kitu chengine mkuu kama unataka thunderbolt kwa ajili ya Gpu ama kazi nyengine zinazo taka high bandwidth unaweza tumia M2 port ya ssd, kutegemea na pcie version inaweza kupa bandwidth kubwa kushinda hata thunderbolt, watu wanatumia pia kuchomeka Gpu, japo utahitaji adapter ya maana kusuply umeme.