Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba.
Ukija kwa Rivers UTD mechi zote mbili hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuruka ruka.
Mechi ya juzi dhidi ya Al Hilal hakuna mwendo wowote wa maana aliyofanya.
Itakuwa hajitambui, yaani hajui mechi zipi za kukaza ili kujiuza au uwezo wake ndio huo mdogo. Samatta pamoja na kuchachafya ligi ya ndani lakini mechi iliyomuuza ni mechi moja tu dhidi ya TP Mazembe mechi ya CAF.