Ubora Wa Bidhaa Za Tanzania, Ni Uozo Mtupu!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Kwa Wale Wanaojaribu kutumia Bidhaa Za Nje Kama Mimi, Watakubali Hili

Chukua COCACOLA YETU NA ILE Ya MALAWI
Au Tumia CHUMVI YETU na Ile Ya KENYA
Ukiona Haitoshi
Tafuta Dawa Ya Mswaki Ya Kibongo Na Ile Ya BOTSWANA
Alafu Kama Vp Gusa ile Mivinywaji Ya AZAM NA wenzie ...Heheheheheh...Hatari Tupu Ilo Povu Na Ukakasi Wake, Hata Ukimwagia Chura...Hayapiti Masaa, Atakuwa RIP

Na Ndio Maana Mayai Ya Kuku Wa Kisasa Wa Kibongo ukipika Utazani Ugali, Kwa Jinsi Yalivyo Na Mpauko Wa Kukosa Virutubisho.
 
Dah! Hivi ni kwa nini top figures hawanywi maji kama vile UHAI? Just curious
 
Back
Top Bottom